Kurasini SDA Choir - Sitaki Kujua ilikuwaje!
HTML-код
- Опубликовано: 10 апр 2025
- Kwakuwa Bwana anatutendea makuu na mema kila siku, hatuna haja ya kuwaza wala kujua tulikotoka (katika dhambi). Tunalotakiwa kujua ni kuwa tulikuwa wadhambi na sasa Bwana ametuokoa.
Видеоклипы
Yes!!! Our role model! Tunajivunia sana kufuata nyayo zenu nanyi kukubali sisi tuwe watoto wenu katika Kristo. Mungu awabariki sana na siku ile Tarumbeta ya Mwana ikilia tukutane Mbinguni tukamsifu Mungu pamoja milele.
Hata na ninyi muliufanyia haki wimbo huu 👏👏👏👏👏
Actually I love both versions tuseme Tu ukweli Watanzania mupo juu 🥰
@@Ronji_health_peeps Ameen utukufu na sifa tunarudisha kwa Bwana.
Your rendition was so perfect. Keep it up.
You are friends to keep Keko Youth choir tunawapenda sana na tunabarikiwa na unyenyekevu wenu ktk kumtumikia Mungu hope u can stand on the same stage with Kurasini sda choir and do something similar for the glory of God....binafsi nawapenda
Heko kwenu pia wana ELCT. Mmebarikiwa na sauti nzuri sana. It was well presented. Mbarikiwe sana
Moja kati ya kwaya zinazofanya vizuri muda wote. Kazi njema
Sauti za nyuma wanaume wanajituma kisawasawa yaani huwa hawakosei.
Ilikuaje mimi sijui...kwa hakika matendo ya mungu hayaeleweki na vipimo vya mwanadamu. Wimbo huu ni wa kipekee na wa nyakati hizi. Tuamini mungu atatenda❤
🎉
From the university of dodoma we appreciate you for your consistency in your graduation
Watengeneze hy ndiyo kwaya ya kanisa ijayo na mungu awabariki sana❤❤
Kurasini SDA ni moja wapo ya kwaya Mimi hupenda kusikiza. Huwa nabarikiwa hata japo Mimi sio mshirika wa SDA kidini
Kenya twawapenda mno
Tumpokee Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai kuwa Bwana na mwokozi wetu.Hizi ni siku za mwisho.
Mwalimu kibaso is stl hear siwezi sahau style yake ya kuimba very jovial relaxed..... Milele tutakukumbuka Mwalimu
Still listening in 2025
Sitak kujuw ilikuaje nachojuw mungu aliniponya na sasa ni mzima namshukur sn Mungu
As I am Believing God for my Miracles I listen to this Song kila siku till the Day I walk to my Miracle
Hii tamu ila Version ya vijana wa Keko ilikuwa tamu zaidi 😋
Hakika mm sielew ilikuaje ni Mungu tuu anaweza kueleza
Listening this 2025 when words fails music speaks ❤🥰sijui ilikua vipi lakini Mungu wetu ni mwaminifu siku zote
Nonapenda sana nyimbo za kurasino tangu zamani kweri.
Ninazisikiriza mara nyingi.
Ninapenda one day wajipange kuja Burundi kwenye mkutano wa njilili au kwenya tamasha.
Si watu jamani mnisadie kufikisha hili ombo langu?
Na iwe ivyo 🙏🏿
Mnatabasam Mungu awalinde
Nilikuwa kipofu sasa naona 'kama wewe hujaelewa hiyo neno omba sana. YESU ametenda amina.
Hongereni sana sda kurasini na kuwakubali hao vijana keko kuwa pacha wenu napenda sana nyimbo zenu
Amina, maana after all tunakwenda mbingu moja 🙏🏿🙏🏿
Kila ninapo sikiliza wimbo huu moyo wangu unafalijika Sana kwa magumu niliyo pitia kweli mungu amenitendea na anatenda kwawale wote wanao mtengemea na kumtukuza mungu
Collision of classics
1. Classic composition
2. classic Arrangement
3. Classic Singers
4.Classical Vocals
5.Classical video
6. Classical performance
Congratulations 👏 Mungu azidi kuongoza kwaya yetu
Ukiskia mtu kubadilisha dini ni mm kwa hawa watu I appreciate them japokua ni iman but iman yangu iko hapa Mungu ataniona zaid
Mungu wa mbinguni akakutendee sawasawa na mapenzi yake . Karibu sana 🙏🏿
Ww ni mm nawapenda sana
Surely who is with me 2023 challenge nice song
Mara hii nimekwamia kwenye Bass!,mmeitendea haki!
Hongereni sana,wanakwaya wenzangu miaka mingi sasa mmenibariki Sana .Mama Sasi na Mme wake na wengine siwaoni !!! Kama kuna jambo linaloleta utukufu kwa Mungu ni wao kurudi kazini mwa Bwana Yesu anawaita warudi katika utumishi wa kwaya ya kanisa.Mungu awabariki Sana.Jiwekeni mikononi mwa Mungu kwaya hii Yeye ataisimamia na kujiinua kati yenu.Amen,ninawaombea
Amen
Mbona unaongea kana kwamba hao watu wameasi 😅 Mbona wapo na wanaimba na unawaona wakiimba ! Mavuno ni mengi wavunaji wachache inabidi wakat mwingine watu wagawane mashamba ili yesu awe na watu wengi sana🙏
Gg
Ssul 2:41
Now I am interested to know which version came first, this one or Vijana Keko's..
This is the original version; the Kekos once is a cover
@@gloriousnp Ajabu, the Keko's version was uploaded a year earlier.. a way better too
Being a catholic and having the knowledge of praising the same God its so encouraging seeing others having. Such a wonderful praise and recognition of His precious miracles keep it up family
Pokea salamu zetu kutoka Burundi tunawapenda sana
Wimbo mzuri sana, unatubariki. bado wimbo ATAONYESHA NJIA KWAKO KATIKATI ya GIZA NENE Kati ya tanuru la moto liwakalo
I appreciate your work my fellow singers, I feel happy when I watch your songs
King biblos turudishieni Mariam Sombi na Joyce Idafa kwa hii choir🙏😅..
Mob love from Kenya🇰🇪 🇰🇪..
Love Joyce Idafa’s voice and her infectious smile
Nilishangaa
Kisima cha Bwana hakikauki hata jua liwake namna gani.
@@raphaelkamaga3598 absolutely
Kazi ya Mungu haiwezi kuacha kusonga mbele kwasababu ya watu wachache, Mungu ameshainua vipaji vingine wanamtumikia.
Amefanyaje! mimi sijui! Ninalo jua nilikuwa sioni sasa ninaona
My brother's favorite, anytime tumekosana ama I need a favor from him I just play him this and all is well😔❤
Very good l like all sabath songs
Honngera Hongera Hongera sana mnapendeza sana muwendele hivio hivio nawapenda sana ❤❤❤
Kwakweli BWANA AWABARIKI SANA
Kazi nzuri sana mbarikiwe nilikuwa naomba nota zake
2nd tym kusikia this song very encouraging wahhhh....KKK YOUTH SUNG IT
They are our fellow in Christ we come from the same compound we allowed them to do so but we satisfy the needs of people from our side.
waoooh. kila mara nasikia raha na kubarikiwa na ninyi i wish one day tutaimba pamoja
Hii yenyewe hii 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏿my all time fav . Yesu aliyetenda na akazidi kutenda kwenu
Happy sabbath 🇹🇿🙏🏿
Kazi mzuri sana ...mbarikiwe Kurasini
Tunaomba walotoka waweze kurudi
Waoooooooo kazi nzuri sana.
Wycliffe owiti blessed very much from Dandora central SDA church Nairobi Kenya
Kwani AKO hapa
May Almighty God bless you all kulasini
AMINA ,siwezi eleza alivyonitendea Makuu !!
Bwana apewe sifa, tunabarikiwa
I will never understand your ways Lord don't even bother to know, all I know is that You love me! Thank you so much Jesus
Hii kwaya ibarikiwe na izidi kutumika katika kazi ya Mungu.
The same God of yesterday today and tomorrow, he did it last tym and today he will strong message God bless, am so blessed and I forgot all my problem coz God is always God.
Kurasini in the house. Mmerudisha hadhi ya kwaya hii. Miaka ya 90 ilikuwa ikigombaniwa na makambi ya mitaa yote ya Temeke na Mbagala mpk Kibaha na Kongowe🙏🏾🙏🏾
Mi nakumbuka wakati Mar Kibaso ndo anaanza kuifundisha Enzi za kina mbaraka wa moro
wembo mtamu sana sana mbarikiwe sana . natamani kuona mtunsi wa wimbo
HAYUKO aliaga
pole sana@@nyabwansufred
Aisee mmeimba vizuri sana na video nzuri sana. Mbarikiwe sana sana.
Nakupenda saaaaana na kubarikiwa kupitia wimbo huu, na nyimbo za Kurasini kwa Ujumla.
Mungu azidi kuwaongoza.
Amina🙏
Jaman sema hakuna kanisa la kisabato karibu yangu haki nataman kuwa msabato halisi
Umekaribishwa. Nehema ya mungu ni Bure
uko eneo gani watu walipo karibu nawewe watakusaidia ama tupatie namba yako hapa tukuelekeze
Usivutiwe na uimbaji ukawacha Imani yako
I love the songs of kurasini infact zote hua zinanibariki Sana I listen to em daily they have good messages.
Amina...nimengoja kibao hiki kwa hamu, mubarikiwe sana waimbaji wa kurasini😊..
Zimeimba kwaya mbili ,kkt Keko na sda kurasini God first tunahubiri neno La Mungu Asante Mungu
The owner of this song Ni SDA CHURCH KURASINI WENGINE NI COPY KIPENZI ❤
Barikiwa sana
Audio nzuri kuliko Keko, video ya Keko nzuri kuliko hii. Tungelazimika kuwazidi kila kitu sababu Sisi ndo wenye wimbo, any way Mungu azidi kuwainua Kurasini SDA Choir
Wamecopy wimbo wetu sijapenda🙌🏻😓 anyways mungu wetu ni mmoja
Amina. BWANA Atukuzwe sana. Tunawapenda na kuwaombea sana kwaya yetu pendwa ya Kurasini. Tunatamani muendelee zaidi kuimba zile nyimbo zenu za sonata na kuimba ki- Adventista zaidi na zaidi. Mungu awabariki sana. Dada Grace Kurwijila ubarikiwe pia kwa ujumbe mzuri.
Amefanyeje mimi sijui!! Hakika siwezi kujua!! Mungu awabariki
AMEN 🙏
Wangapi huu wimbo ni kama ushuhuda kwetu 🙏
sauti ya tatu mmenibariki aisee 🙌
KWAYA YA VIJANA KKKT KEKO - KVK - AMEFANYAJE..? (COVER) (Official Video)
2024 Naamini nitatembea na kuona kwa jina la Yesu na nitakuja kutoa ushuhuda hapa
Mungu akujibu sawa sawa na hitaji la moyo wako.
Mungu awabarki Sana kurasini ninabarikiwa Sana na nyimbo zenu
Nyuso mpya wimbo mtamu..tuwashukuru sana kitoka 🇰🇪
The song whicj iwii remember forever.salvation thrust
Mungu awatangulie
Wimbo mzuri sana mmebarikiwa
Hongera sana kwenu, natamani waimbaji wote wangevaa nguo za heshima kama hawa
Amen mbalikiwe sana kwa ujumbe mzr
Kurasini kama Kurasini! Keep the fire burning. I love you. Mungu aendelee kuwatunza. See you in heaven.
Nina wa penda Saaaaana mungu à wabariki
Aminaaaa❤
Ukitaka kujua nyimbo zina nguvu basi subscribe haha. Injili ya nyimbo zao iliniokoa pia. Ndio maana Leo hii mimi na nyumba yangu ni waadventista wa sabato.
Asante nabarikiwa sannaaaa
God bless much this choir..... Since childhood this choir has been serving God in a very humbled way and keep the sabbath the same.... Never interested with world things
New faces barikiwa saana kurasini
The quality of the video is impressive..
Ninacho jua Nimepina nikikuwa naumwa , nilipigwa kiuchumi , ki imani 🤣😂🤣Love this keep moving Team ❤️❤️❤️God blees you ,
MUNGU azidi kuwabariki kwa uimbaji wenu
Here from that tiktok video…nice song
Amina
Be blessed
Mungu aendelee kuwapatiah nguvu zaid za kufanya kazi ya Mungu
Kweli Yesu ametenda na bado atatenda. Amen na Mungu asifiwe
Mungu amuweke mahal pema
Hakika ni wimbo mzuri sana mbarikiwe kurasini sda
Uzuri wenu nyie kurasini huwa hamkosei, halafu watu hata wakishundana nanyi huwa hamnaga haraka nao, kama hamtaki vile, yaani hara sijui, yaani mnajuaga wenyewe tu. Hongera sana.
Nikuwa kipofu sasa ninaona🙏🙏🙏🙏
Kwaya yangu tangu udogo. Nawapenda sana Wajoli. Mbarikiwe
Wimbo umenibariki sana hongereni waimbaji wote walioshiriki wimbo huo napenda contact ya kiongozi
BWANA AZIDI KUWATUMIA KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE
Barikiwa sana My family JHV🎉
Bwana Mungu awabariki sana sana waimbaji.
Que Dieu vous bénisse🎉
Nimebarikiwa sana kutembea na yesu raha
Yesu ametenda,, imekuwaje sijui🙏🙏🙏😍😍😍😍